Jumatatu, 4 Julai 2016

 wanachama wa CHAWAKAMA-SUZA wakiwa katika eneo la ZIWA NYASA-MKOANI MBEYA ambapo walishiriki katika kongamano la KANDA la CHAWAKAMA katika Chuo Kikuu Cha TEOFILO KISANJI_MBEYA

ZIWA NYASA-MKOANI MBEYA


PICHA MBALIMBALI ZIKIWAONESHA WANACHAWAKAMA-SUZA KATIKA SAFARI YAO MKOANI MBEYA KATIKA KONGAMANO LA CHAWAKAMA  KANDA YA TANZANIA 
CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI-MBEYA

Maoni 2 :

  1. Huu ni mwanzo mzuri na jambo LA kupongezwa kwa walioshiriki wote kuanzisha hii blog. Lakini nitoe ushauri, huu ucwe mwazo tu.yaani namaanisha hii blog I we hai Mara kwa Mara zitume ujumbe mpya na masuala yote yanayoihusu jumuiya mini inafanya. Na icwe mwezi huu was July ilipoanzishwa beta bac, hamshapishi vitu vyengine.

    JibuFuta
  2. Ni vizuri pia katika ukurasa was kwanza wa hii blog mkaweka sehemu ambayo itaelezea kwa ufupi historian ya hii jumuiya(chawakama-suza) yakaainishwa malengo, idadi ya wajumbe pamoja na uongozi, na mafaniki pamoja na changamoto zinazoikabili jumuija. Vitu hivi vikiwekwa kwenye hii blog vitawavutia na wengi kujiunga na wengine kuifadhili hii jumuija na kuacha kukitegemea chuo na michango ya wajumbe peke take. Tafadhali yazingatiwe haya. lakini Zilazimishiii in ushauri tu....

    JibuFuta